Mgombea udiwani Kibosho aahidi kuboresha lishe kwa wanafunzi shule za kata
Mgombea udiwani wa Kibosho Magharibi, Wilaya ya Moshi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Deo Mushi, ameahidi kuwa endapo atachaguliwa kuwa diwani, asilimia 60 ya mapato yanayokusanywa kupitia...