Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

141 results for Bahati Mwatesa :

  1. Auawa, mwili watelekezwa kwenye bustani

    Ruangwa. Mkazi wa Mitope, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Justin Galus (33) ameuawa na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutelekezwa kwenye bustani za kilimo cha mbogamboga ukiwa na...

  2. Mauzo ya korosho Lindi Mwambao yapaa, wakulima wachekelea bei

    Chama Kikuu cha Ushirika Lindi Mwambao, kinachojumuisha Wilaya za Lindi, Kilwa na Mtama, kimeuza korosho zenye thamani ya Sh119 bilioni katika minada minne iliyopita.

  3. Watu 50 wanusurika kifo basi likigongana uso kwa uso na lori

    Kamanda huyo amesema baada ya kulipita lori jingine ndipo akakutana na lori hilo ambalo lililokuwa linatokea Masasi kuelekea Mtwara na kugongana nalo uso kwa uso.

  4. Wakulima wa mwani Lindi wafikisha kilio chao kwa Waziri Jafo

    Ukosefu wa vitendea kazi na masoko ya uhakika ya zao la mwani ni changamoto zinazowakabili wajasiriamali na wakulima wa zao hilo mkoani Lindi, jambo linalowafanya wasinufaike nalo.

  5. Wataka haki, amani itawale uchaguzi wa serikali za mitaa

    Baadhi ya viongozi wa dini, vyama vya siasa na watu wenye ulemavu mkoani hapa, wametaka kuimarishwa kwa amani na haki wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa...

  6. Kilwa yaondokana na changamoto ya umeme

    Wananchi wa kijiji cha Zinga kilichopo wilayani Kiwa Mkoa wa Lindi waliokuwa wakikabiliwa na changamoto ya umeme kwa muda mrefu sasa wamepatiwa ufumbuzi.

  7. Zahanati Ngorongopa kuwapa kufuta machungu ya wananchi

    Wakazi hao wamekuwa wakitembea umbali wa kikomita 10 kutafuta huduma za afya.

  8. Kilwa, Ruangwa waomba kujengewa daraja lililosombwa na mafuriko

    Wanachi wanaoishi katika Wilaya za Kilwa na Ruangwa wameiomba Serikali kuwasaidia kurejesha mawasiliano ya miundombinu ya daraja la Mto Mbwemkuru linalounganisha wilaya hizo lililoathiriwa na...

  9. Wananchi Kusini wasisitiza haja ya kuwa na Katiba mpya

    Washiriki wa kongamano la Jukwaa la Katiba kutoka mikoa ya Kusini, wametaka mwendelezo wa mchakato wa Katiba mpya ambayo itampunguzia Rais majukumu tofauti na iliyopo sasa inayompa majukumu mengi.

  10. Walimu wanaofundisha vijijini walia na mtandao, waiomba NMB kufanya jambo

    Lindi. Walimu wanaofundisha shule za vijijini wameiomba Benki ya NMB kusaidia mcahakato wa kuboresha huduma ya mtandao, ili waweze kufanya miamala ya kibenki kwa urahisi. Akizungumza leo...

Previous

Page 4 of 15

Next