Mchinjita wa ACT Wazalendo adaiwa kukamatwa na Polisi Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutembelea mradi wa mwendokasi kuangalia kero wanazopitia wananchi.
Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni tulivu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema hali ya kisiasa Tanzania ni tulivu, huku akipinga madai ya kunyamazishwa kwa upinzani.
Mikoa hii ijipange kwa baridi Juni hadi Agosti Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuanzia Juni hadi Agosti, 2025 kutakuwa na baridi kali na ya wastani katika mikoa sita nchini.
Madeleka naye atimkia ACT - Wazalendo, aeleza mwelekeo Madeleka tayari amekabidhiwa kadi ya uanachama wa chama hicho pamoja na katiba ikiwa ni ishara ya kuwa mwanachama wa chama hicho.
Alichokifanya Lissu nje ya mahakama ya Kisutu akirejeshwa rumande Kesi zote mbili zilizosikilizwa leo Jumatatu Mei 19, 2025 ya uhaini na ya uchochezi, ambazo zilisikilizwa leo, zimeahirishwa hadi Juni 2, 2024.
Polisi walivyojitofautisha, Lissu akiletwa Kisutu Polisi hao kwa leo wamekuwa wakizungumza kwa utulivu na wafuasi wenye sare za Chadema ambao wako umbali wa kama mita 100 kutoka geti la Mahakama hiyo.
Lissu afikishwa mahakamani, akionyesha ishara ya vidole viwili juu Baada ya askari ambao walivalia kofia za kuzuia uso usionekane wakiwa kwa wingi, walimpeleka Lissu hadi mlango wa nyuma wa kuingia mahakamani hapo.
Wataalamu Tanzania wanolewa kutibu uvimbe kwenye mishipa ya ubongo Madaktari bingwa kutoka barani Ulaya wameanza kuwajengea uwezo wataalamu wa afya nchini Tanzania mbinu za kutibu uvimbe kwenye mishipa na matatizo kwenye sakafu ya ubongo, lengo kupunguza rufaa...
Serikali yazitaja hospitali zinazotoa tiba asilia Hospitali hizo zimeongezeka kutoka saba ambazo Serikali, mwaka 2023, ilizitangaza kuanza kutoa huduma hiyo, sasa zimefika 14.
Ulega aagiza uchunguzi mshauri mradi wa BRT Ulega amesema ingekuwa busara kwa mkandarasi M/S Geo Engineering kuanza ujenzi katika maeneo tayari yaliyochimbwa badala ya kuendelea na uchimbaji katika maeneo mengine, hatua ambayo imeongeza...