Mkurugenzi wa Jatu aomba kuiachia mahakama kesi yake Kupitia wakili wake, Nafikile Mwamboma, mshtakiwa huyo ametoa ombi hilo baada ya upande wa mashtaka kueieleza Mahakama hiyo kuwa upelelezi wa kesi haujakamilika.
Sauda jela miaka 30 kwa kusafiria kilo moja ya bangi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Sauda Mohamed (48) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha kilo moja ya dawa za kulevya aina ya bangi.
Mtoto wa Askofu Sepeku aibua mapya mahakamani Bernado alifungua kesi ya madai Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, akipinga kunyang’anywa zawadi ya kiwanja alichopewa baba yake na kanisa hilo.
Shirima kortini madai ya kujitambulisha kama Spika wa Bunge Mkazi wa Kipunguni, Charles Shirima, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka 42 yakiwemo kujitambulisha kuwa yeye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Mdhamini jela miezi sita kwa kumtorosha mshtakiwa, atakiwa kulipa Sh5 milioni Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha miezi sita jela na kulipa bondi ya Sh5 milioni mdhamini Erick Mwasongwe, baada ya kushindwa kuhakikisha mshtakiwa...
PRIME Mahakama yatoa amri tano kesi ya Lissu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa amri tano ikiwamo kuridhia, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu apelekwe mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi yake ya kuchapisha taarifa za uongo...
PRIME Hakimu atoa onyo, Lissu agomea tena mtandao Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hadi Mei 19, 2025 baada ya upande wa Jamhuri kutokamilisha upelelezi.
Mahakama yabadili gia kesi ya Lissu Uamuzi huo umetolewa leo Jumanne, Mei 6, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geoffrey Mhini, wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa kutolewa uamuzi.
Kesi ya Boni Yai na Malisa yachukua sura mpya, Serikali yakata rufaa Mahakama Kuu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali ombi la Serikali la kuruhusu kuwekewa ulinzi kwa mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni inayowakabili...
Chama cha NRA chaita vijana kugombea nafasi za uongozi Tayari chama hicho kimefungua pazia la kutoa fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenda kuchukua fomu ofisi kwao kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali.