Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1154 results for Jesse Mikofu :

  1. Dk Mwinyi: Pemba  kuwa kitovu cha uvumbuzi na biashara

    Dk Mwinyi amesema Serikali imelenga kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje wenye mtazamo wa muda mrefu, ili kuleta maendeleo shirikishi, ajira kwa vijana na kuongeza pato la wananch wa Pemba kwa...

  2. Uhaba wa wataalamu Uzi, wajawazito wajifungulia kwenye boti

    Akizungumza na Mwananchi iliyofika kisiwani huko jana Jumamosi Juni 14, 2025, Furaha Yassin, mkazi wa Uzi, amesema baada ya kituo kujengwa walitegemea kuwa changamoto iliyokuwa inawakabili...

  3. SMZ na mkakati wa kuifungua Pemba kiuwekezaji

    Katika kufanikisha mipango ya kuifungua Pemba kiuwekezaji, kwa mara ya kwanza linafanyika kongamano kubwa la uwekezaji kisiwani humo

    New Content Item (1)
  4. Wataalamu, wananchi waonesha uimara, matobo ya bajeti Zanzibar

    Siku moja baada ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuwasilisha bajeti kuu kwa mwaka wa fedha 2025/2026, wataalamu na wananchi wametoa maoni tofauti kuhusu mpango huo wa kifedha.

  5. Othman ataka machungu ya historia ya Zanzibar yaandikwe

    Amesema historia ya nchi haipaswi kuandikwa kwa ‘kalamu ya kisiasa’, bali inapaswa kuandikwa kwa kuzingatia misingi ya haki na ukweli, kwa maslahi ya vizazi vyote vya sasa na vijavyo.

  6. Dizeli, petroli, pombe, shisha zaongezwa kodi Zanzibar

    Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa mwaka wa fedha 2025/26 imependekeza kuongeza viwango vya ushuru katika bidhaa mbalimbali, zikiwamo dizeli, petroli, pombe kali, mvinyo na...

  7. SMZ yapandisha ushuru wa mafuta, masheha waongezwa mshahara

    Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 imependekeza kuongeza viwango vya ushuru katika bidhaa mbalimbali, zikiwemo dizeli, petroli, pombe kali, mvinyo na...

  8. Zanzibar ilivyopanga kukuza uwezo wa watu, kuimarisha uchumi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dk Saada Mkuya ametaja maeneo matano ya kimkakati kwa mwaka wa fedha 2025/26 yakigusia kukuza uwezo wa watu, kuimarisha mageuzi ya kiuchumi na...

  9. Mashirika 48 ya ndege yakutana Z’bar kujadili fursa, changamoto

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Zanzibar inajipanga kuendelea kujenga miundombinu ya viwanja vya ndege ili kuifanya kuwa kituo bora cha utoaji wa huduma za usafiri wa anga Afrika na...

  10. Matarajio Zanzibar bajeti ya Serikali leo

    Mtaalamu wa masuala ya uchumi na mshauri binafsi katika sera na uchumi, Dk Twahir Mohamed Khalfan amesema bado kuna kazi ya kufanya kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na kuondoa kodi ambazo...

Previous

Page 4 of 116

Next