Ubalozi kutangaza utalii, bidhaa za Tanzania nchini China
Ili kuongeza ufahamu, ubalozi wa Tanzania nchini China umeingia makubaliano na kituo cha runinga cha Hainan kutengeneza kipindi maalumu kutangaza bidhaa, utamaduni na utalii vilivyopo wa Tanzania.