Maabara ya tehama sekondari ya Igogwe itakavyowanufaisha wanafunzi
Ofisa Tarafa wa Ilemela, James Chuwa, ambaye alimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Hassan Masala, ameshukuru vifaa hivyo kupelekwa kwenye shule hiyo akiwataka wadau wengine waige mfano huo...