Sh948.5 bilioni kubadili uwanja wa maonyesho Sabasaba
Lengo la kufanya hivyo ni kuongeza kiuchumi wa Taifa huku ikihamasisha mashirika, taasisi na wawekezaji binafsi kushiriki katika kuuboresha uwanja huo wa kihistoria unaokaribia kufikisha miaka 50...