Search

1067 results for Habel Chidawali :

  1. Aliyekuwa mbunge aapishwa tena

    Mbunge mpya wa Mbarali, Bahati Ndingo ameapa leo baada ya kushinda nafasi hiyo kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Septemba 19, 2023.

  2. Sekretarieti ya maadili shubiri kwa vigogo Serikalini

    Eti Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma haina meno? Je unakumbuka kesi ya Escrow na matokeo yake?

  3. Walimu wawili Dodoma wang’olewa kisa kuwatumikisha wanafunzi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Zaina Mlawa amewang’oa walimu wawili wa Shule ya Msingi Mayamaya chanzo kikiwa ni utumikishaji wanafunzi kwenye kuchoma mkaa, ajali ya moto...

  4. Katibu Mkuu Luhemeja awapa maagizo WCF

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Cyprian Luhemeja ametoa maagizo manne kwa Baraza la wafanyakazi la Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) ikiwamo...

  5. Serikali yataka Bodi ya Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi kuwa na meno

    Serikali imeiagiza Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) kuwachukulia hatua wataalamu wote waliosajiliwa na bodi hiyo ambao wanakwenda kinyume na taaluma yao.

  6.  Mwanafunzi aungua akizima moto shule

    Vurugu hizo zilitokana na mwanafunzi wa darasa la sita Andrew Jacobo Nghalanzi (13) kuungua moto kiasi kikubwa miguuni wakati yeye na wenzake walipokuwa wakizima moto.

  7. PRIME Raha, karaha ya ndoa kwa wanafunzi vyuoni

    Achana na uhusiano wa kihuni unaochangia kuwapo kwa ziitwazo ndoa za rejareja kwa wanafunzi wengi wa vyuo vya elimu ya juu.

  8. Serikali yataja sababu wastaafu kutapeliwa

    Waziri amewaomba wastaafu waachane na mipango mipya ya kuiga ambayo mwisho wa yote huwapelekea kwenye majuto.

  9. Safari ya kilomita zaidi ya 40 kusaka huduma za afya

    Je, lini Serikali itajenga vituo vya afya katika kata za Mlembule, Godegode, Chunyu na Berege?

  10. Wagonjwa afya ya akili wapungua Dodoma, kifafa chaongoza

    Mkoa wa Dodoma umetajwa kuwa kinara wa idadi kubwa ya wagonjwa wa kifafa ambapo inachukua asilimia 79 ya wagonjwa wa afya ya akili.

Previous

Page 5 of 107

Next