PRIME Hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga Wataalamu wa afya za watoto wachanga wametaja hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga, ambazo wanawake wengi hawaijui.
PRIME Ushuzi wako afya yako, zijue faida kiafya za kunusa ushuzi wako Inaelezwa kuwa ushuzi wa kimya una afya zaidi kuliko ule unaoambatana na sauti mbalimbali, na kwamba ukiona hali hiyo nenda ukatibiwe.
Hatua za kujikinga na Uviko19, Dengue waishio mikoa ya Pwani Wakazi waishio mikoa ya Pwani mwa Tanzania, wametakiwa kuchukua tahadhari kujikinga na ongezeko la hatari ya kuenea kwa magonjwa yanayoenezwa na mbu na njia ya hewa.
PRIME Kikwete alivyobadili upepo ushindi wa Profesa Janabi Ushindi wa Profesa Mohamed Janabi katika kinyang’anyiro cha nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika, si tu umeandika historia mpya kwa Tanzania, bali pia umefungua...
PRIME Profesa Janabi aeleza shauku, mikakati kutumikia watu bilioni 1.4 Kwa mujibu wa utaratibu Janabi atahudumu kwa kipindi cha miaka mitano, lakini anaweza kuteuliwa tena kuhudumu kipindi kingine cha miaka mitano.
PRIME Kilichompa ushindi Profesa Janabi, Tanzania itakavyonufaika Ukiachana na uwezo wake kiuongozi na hotuba yake iliyoakisi kiu kubwa ya Waafrika, sifa ya Tanzania kidiplomasia barani Afrika ni miongoni mwa mambo yaliyochangia ushindi wa Mkurugenzi wa Shirika...
Dakika 20 za Janabi kunadi sera akigombea WHO Afrika Mwakilishi wa Tanzania katika nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohamed Janabi ametumia dakika 20 kunadi sera zake akijikita kwenye maeneo makuu...
Dk Ndugulile akumbukwa WHO ikifanya uchaguzi Bodi ya Utendaji ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na Kamati ya Kanda ya Afrika, imemkumbuka Dk Faustine Ndugulile na kutuma salamu za rambirambi kwa familia na nchi ya Tanzania kwa kumpoteza...
Profesa Janabi, wenzake kuchuana WHO kesho Tayari wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali ya barani Afrika, wakiwemo mawaziri wa afya ambao watapiga kura, tayari wamewasili kwa ajili ya mkutano huo.
Tanzania yataja ongezeko shinikizo la juu la damu Kufuatia hali hiyo, Serikali imepanga mikakati mbalimbali pamoja na kuboresha miundombinu, vifaa tiba na mafunzo kwa watoa huduma za afya kwa kuwajengea uwezo watoa huduma 2,400 katika vituo 600.