Wanaotumia dawa za kulevya kukata hedhi waonywa Wanawake wanaotumia mbinu mbalimbali, ikiwemo matumizi ya dawa za kulevya kukata hedhi, amesisitizwa kuacha tabia hiyo kwani inawaweka katika hatari ya kupata matatizo katika mfumo wa uzazi.
Gwajima awajia juu wanaodhihaki 'Single mothers' Gwajima amesema kutoa kauli mbaya dhidi yao ni kuwanyanyasa wanawake ambao wameamua kusimama na kulea watoto wao wenyewe kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufiwa au kutengana na mzazi mwenzake.
Miaka 30 ya Mkutano Beijing, usawa wa kijinsia kwenye elimu majanga Akizungumza katika mkutano uliowakusanya wanawake vijana viongozi kujadili kuhusu miaka 30 baada ya mkutano wa Beijing kwa kuangazia haki ya elimu uliofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni...
PRIME Faida ya wazazi kutenga muda kusikiliza watoto Katika mzunguko wa siku nzima watoto hukutana na mambo mbalimbali ambayo wanaporudi nyumbani, hutamani kuwahadithia walezi ama wazazi wao wakati mwingine kwa lengo la kujua uzuri au ubaya juu...
PRIME Huu hapa mwarobaini wa talaka za uzeeni Said Suleiman (60) ambaye ni baba wa watoto watano anasimulia namna alivyoachana na mkewe baada ya kuishi pamoja kwenye ndoa kwa takribani miaka 25.
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zahimizwa kuondoa vikwazo vya biashara Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zahimizwa kuondoa vikwazo katika upande wa usafirishaji wa bidhaa ili kuimarisha biashara na ukuaji wa uchumi katika ukanda huo.
Mambo matano yatakayomuinua mwanamke kiuchumi Dar es Salaam. Hali ya kiuchumi ya mwanamke inategemea mambo mengi, lakini baadhi ya vipengele muhimu vinavyochangia mafanikio ni elimu, nidhamu, kujituma, kujiamini na uwepo wa rasilimali. Haya...
Vijana wahimizwa kufuata misingi ya dini, maadili Ili kuwa na jamii iliyobora vijana nchini wamehimizwa kuishi kwa kufuata miongozo na misingi ya dini.
Kamati ya Bunge yaingilia kati matengenezo MV Magogoni Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeielekeza Serikali kutoa fedha zilizoidhinishwa na bunge katika bajeti ya mwaka uliopita, ili kukamilisha malipo ya matengenezo ya kivuko...
Vijana 200 Tanzania, Burundi kulipiwa mahari kupitia Al-Hikma Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al-Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 200 kutoka nchi za Tanzania na Burundi ambao wapo tayari kuoa.