Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

89 results for Mbonea Herman :

  1. PRIME Mafuta yaibua mapya kila kona

    Soma zaidi hapa...

  2. Wanawake wabeba uchumi wa buluu, lakini wanabaki pembeni katika maamuzi

    Wanawake katika uchumi wa buluu bado wako nyuma katika ngazi za maamuzi licha ya mchango wao mkubwa, hali inayohitaji mabadiliko ya sera na mifumo.

  3. Serikali yaingilia kati mgogoro wakulima, wafugaji Korogwe

    Mvutano kati ya wakulima na wafugaji katika vijiji vya Magungacheki na Mkokola wilayani Korogwe umeingia katika hatua inayohitaji uingiliaji wa haraka wa mamlaka husika, kufuatia mgongano wa...

  4. Watumishi wawili wanaswa kwa ubadhirifu, wakubali yaishe

    Watumishi wawili wa halmashauri katika wilaya za Korogwe na Muheza mkoani Tanga wamenaswa kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma Sh9.5 milioni.

    New Content Item (1)
  5. Mama, mtoto wa miezi nne wauawa, watupwa kisimani Tanga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watuhumiwa wanane kwa tuhuma za kuhusika na matukio matatu tofauti ya uhalifu, likiwemo la mauaji ya mwanamke na mtoto wake mchanga...

  6. Wavuvi watakiwa kuzingatia tahadhari za hali ya hewa

    Wavuvi wanaofanya shughuli zao katika Bahari ya Hindi mkoani Tanga wametakiwa kuzingatia na kufuata taarifa za hali ya hewa, ili kujiepusha na ajali zinazoweza kusababisha vifo kutokana na...

  7. Auawa akitoka msikitini, familia yataka uchunguzi

    Tukio la mauaji ya kikatili ya Swalehe Shekanga (60), mkazi wa kijiji cha Mawei, kata ya Soni wilayani Lushoto, limeacha majonzi na hofu kubwa miongoni mwa wakazi baada ya kuuawa na watu...

  8. Nafisa anavyokamata soko kwa aina 12 za chai, ya nazi ikitamba

    Jiji la Tanga, linalosifika kwa upepo mwanana wa bahari na mandhari ya minazi, limeendelea kujijengea sifa si kwa utulivu wake pekee, bali pia kwa kuibua wabunifu wanaotumia fursa zilizopo...

  9. Mamia ya wakulima Muheza wanufaika na miche 75,000

    Zaidi ya miche 75,000 ya miti ya uhifadhi na mazao ya biashara imegawiwa na kupandwa katika vijiji vya Shembekeza na Kwemwewe, wilayani Muheza, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulinda vyanzo vya...

  10. Paskazia alivyopambania elimu ya mwanaye mwenye ulemavu

    Katika kijiji kidogo cha Mjesani wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga kuna simulizi inayogusa moyo na kutoa somo kubwa kuhusu nguvu ya upendo wa mama.

Previous

Page 5 of 9

Next