Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

462 results for Saada Amir :

  1. Ofisa tabibu, mmiliki wa zahanati mbaroni tuhuma wizi wa vifaatiba

    Mtuhumiwa mwingine ni mfanyabiashara na mmiliki wa Chuo cha Afya na Zahanati binafsi iitwayo ELABS iliyopo wilayani humo, Novart Felician (36).

  2. 'Serikali inachukua hatua ripoti za CAG'

    Amebainisha kazi ya CAG imeelezwa wazi kwenye Ibara ya 143 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo jukumu lake ni kufanya ukaguzi angalau mara moja kwa mwaka, ingawa hufanya zaidi na...

  3. PRIME Hizi hapa faida, hasara kuoga na sabuni

    Ingawa sabuni ni muhimu kwa kuondoa uchafu, bakteria na mafuta kutoka kwenye ngozi, matumizi yake yanapaswa kuzingatia aina ya ngozi, mazingira, na shughuli za kila siku.

  4. Mfalme Zumaridi atiwa mbaroni kwa mara nyingine

    Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa jioni ya leo Alhamisi Mei 15, 2025 imesema Zumaridi ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa jijini Mwanza...

  5. Watatu mbaroni wakituhumiwa kumuua Scolastica 'gesti'

    Scolastica ambaye awali hakufahamika, alikutwa amefariki dunia kwenye chumba namba tatu cha gesti hiyo huku akiwa amefungwa kitambaa usoni, chanzo cha mauaji hayo kikitajwa ni imani za kishirikina.

  6. PRIME Watu hawa hatari kuoga maji baridi

    Wazee wanaweza kupatwa na shida ya kushuka kwa joto la mwili kwa urahisi zaidi, sambamba na watoto wadogo wanaoweza kuwa na ugumu wa kudhibiti joto la mwili wao kwa haraka.

  7. Bei ya pamba yabaki Sh1,150 kwa kilo, wakulima walalamika

    Aidha, pamba ya daraja la pili itanunuliwa kwa Sh575 kwa kilo, ikiwa ni nusu ya bei ya daraja la kwanza.

  8. Vigogo Chadema Mwanza, wengine 167 watimkia CCM

    Miongoni mwa wanachama hao waliopokewa yumo Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mwanza, Peter Mtyoko pamoja na wajumbe wa chama hicho kutoka Kanda ya Victoria.

  9. RC Mtanda aagiza waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi PSSSF, NSSF

    Kuhusu ajira kwa vijana, Mtanda amesema vikundi 37 vya vijana hadi sasa vimewezeshwa miundombinu ili kufuga samaki kwenye vizimba 161 ndani ya Ziwa Victoria.

  10. Tani 441 za gugumaji zaopolewa Ziwa Victoria

    Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria (LVBWB) imeopoa zaidi ya tani 441 za gugumaji aina ya Salvinia spp ndani ya Ziwa Victoria katika eneo la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza, kuanzia Mach 29 hadi...

Previous

Page 5 of 47

Next