Bajeti kiduchu kwa vijana, deni la Taifa likipewa kipaumbele Wakati vijana wakiwa ndiyo nguvu kazi inayotegemewa katika kujenga uchumi shindani, lakini ndilo kundi lililotengewa fedha kiduchu katika bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2025/26, huku robo...
PRIME Sarakasi za dabi zinavyotoboa mifuko ya watu Sarakasi hizi sasa si tu zimevuruga ratiba ya ligi, bali zimewatoa jasho wafanyabiashara, mashabiki, wadhamini, wamiliki wa haki za matangazo, na hata kuiweka kwenye hatari taswira ya Tanzania...
PRIME Maumivu ya maji, wananchi wakesha kuyasubiri Dar Hali hiyo ni kinyume na miongozo ya Shirika la Afya Duniani (WHO) inayopendekeza kaya kutumia si zaidi ya asilimia 3 ya kipato kwa huduma ya maji.
Sakata la Yanga, TFF bado ngoma ngumu Sakata hilo la madai ya fedha za ubingwa ziliibuliwa na Yanga ambao walidai haitocheza mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Singida Black Stars msimu huu hadi itakapolipwa fedha za...
PRIME CCM, Chadema, Chaumma ni mwendo wa kufuta nyayo Vyama hivyo vya Chaumma, Chadema na CCM, vinaendelea za ziara zao zenye malengo tofauti kwa kukutana na wananchi, kuzungumza nao na kueleza ajenda zao wakati Taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu...
Chadema, Chaumma waendeleza vijembe, CCM yasimama katikati Kwa upande wa Chaumma, kinajibu mapigo dhidi ya Chadema kikiwatuhumu baadhi ya viongozi wake wa juu kwa tabia ya kutweza utu wa wanawake katika majukwaa ya kisiasa, huku kikiwataka watoke...
Makandarasi wazawa waula, Daraja Kigongo - Busisi kuanza kutumika Juni 19 Hayo yameelezwa leo Jumapili Juni 8, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika daraja la Kigongo- Busisi ukilenga kueleza mafanikio ya...
Waumini wa Askofu Gwajima wasali nyumbani, ndoa na ubatizo zaahirishwa Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa kile alichokieleza limekiuka Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, kwa kutoa mahubiri yenye...
PRIME Matarajio ya Watanzania bajeti ya Serikali Sambamba na masuala ya uchaguzi, kutokana na mwaka huu kuwa wa Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Rais, baadhi ya wadau na wananchi wamependekeza uwekezaji katika sekta muhimu ikiwemo kilimo...
Wanasiasa wahimiza utii wa sheria, haki na wajibu wakiadhimisha Eid Katika kuadhimisha sikukuu ya Eid El-Adh'haa viongozi wa kisiasa wamehimiza kukuza umoja wa kitaifa, kuelimisha kuhusu majukumu ya kidini kwa mujibu wa sheria, wakiweka mkazo juu ya utawala wa...