TMA yatoa tahadhari wavuvi, wananchi mwambao Ziwa Nyasa
Mbeya. Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), imetoa tahadhari kwa wavuvi na wananchi waishio mwambao mwa Ziwa Nyasa, Wilaya ya Kyela mkoani hapa, kufuatia kuwepo kwa vipindi vya mvua za radi na upepo...