Tanzania yajipanga, WHO ikipunguza idara, watumishi WHO imechukua hatua hiyo ikiwa takribani miezi minne baada ya Marekani kutangaza kujiondoa katika shirika hilo na kusitisha ufadhili wake.
WHO yapunguza nusu ya wafanyakazi Shirika la Afya Duniani (WHO) limepunguza nusu ya timu yake ya usimamizi na italazimika kupunguza shughuli zake baada ya Marekani kutangaza inaondoka katika shirika hilo na kusitisha ufadhili.
‘Lenacapavir’ dawa iliyoonyesha ufanisi kuzuia VVU kwa asilimia 100 Dawa ya sindano aina ya lenacapavir inayozuia maambukizi ya virusi vya Ukimwi, imeonyesha ufanisi kwa asilimia 100 katika jaribio la kwanza la utafiti nchini Uganda.
Wauguzi wapaza sauti wingi wa majukumu, WHO wakitoa ripoti Wakati dunia ikiadhimisha siku ya wauguzi, Chama cha Wauguzi Tanzania (Tanna) kimepaza sauti kuhusu upungufu wa watumishi wa kada hiyo nchini kufikia asilimia 52 kutoka 47 iliyokuwapo miaka...
PRIME Wenye miaka 40 hatarini matumizi ya uzazi wa mpango Baadhi ya wanawake wamekuwa wakitumia njia za uzazi wa mpango bila kuzingatia hali zao, hivyo kujiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa sugu.
Wadau wapendekeza fao la uzazi wa mpango kwenye bima ya afya Wakati wadau wa masuala ya afya wakipendekeza kujumuishwa huduma za uzazi wa mpango kwenye bima ya afya, Serikali imesema imeyapokea na yatafanyiwa kazi.
Asilimia 68 wanaovunjika mifupa hawafiki hospitalini Utafiti ulifanyika kwa ushirikiano na Hospitali ya Shirati KMT iliyopo mkoani Mara kwa ushirikiano wa karibu na Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk Bwire Chiragi.
Hatari zilizopo wanaozaa pacha zaidi ya watatu Wataalamu wa afya wameeleza hatari zilizopo kutunza watoto waliozaliwa pacha zaidi ya wawili, na changamoto wanazokutana nazo tangu kugawanyika kwa yai tumboni mwa mama, wakati na baada ya kuzaliwa.
PRIME Hatari za kiafya kwa wapendao upweke Kujihisi mpweke ni kitu kibaya kiafya kwani huchangia kushusha kinga za mwili.
PRIME Wanasayansi wabaini mbu hatari, wataja mbinu za kumuangamiza Wanasayansi wamegundua aina mpya ya mbu katika pwani ya Kenya na Tanzania, yenye uwezo mkubwa wa kustahimili dawa za kuua wadudu, huku wataalamu wakishauri mbinu za kumuangamiza.