Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

89 results for Mbonea Herman :

  1. Shughuli ya kuwatafuta watu watatu waliozama majini yaendelea

    Utafutaji wa watu watatu waliopotea kufuatia kuzama kwa jahazi katika Bahari ya Hindi, eneo la Nungwi kisiwani Unguja, bado unaendelea huku matumaini ya kuwapata yakiwa yameanza kupungua.

  2. Wawili wafa ajali ya jahazi Nungwi, watatu hawajulikani walipo

    Wakati mwili wa aliyekuwa mtumishi wa afya, Amos Sika (33), ukipatikana, watu wawili wamefariki dunia na watatu hawajulikani walipo baada ya jahazi kuzama eneo la Nungwi kwenye Bahari ya Hindi.

  3. Wawekezaji watakiwa kukata bima kulinda miradi mikubwa ya Tanga

    Wawekezaji wametakiwa kuona umuhimu wa kujiunga na huduma za bima ikiwa ni jitihada za kuhakikisha miradi mikubwa ya kimkakati inalindwa dhidi ya majanga na hasara zisizotarajiwa.

  4. Meneja Uwanja wa Mkwakwani Tanga asimamishwa kwa uzembe

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdallah, amemsimamisha kazi Meneja wa Uwanja wa CCM Mkwakwani, Akida Machai, kwa tuhuma za kushindwa kutekeleza ipasavyo majukumu...

  5. Mvutano wazuka mabasi kuhamishiwa kituo cha Kange Tanga

    Mvutano umeibuka katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) baada ya wajumbe kutofautiana kuhusu mpango wa kuhamishia mabasi ya abiria yanayokuwa katikati ya jiji kwenda kwenye...

  6. Migogoro ya ardhi na mirathi inavyowatesa wananchi

    Kupitia kliniki hizo, mawakili hushughulikia mashauri mbalimbali kwa kutoa ushauri wa kisheria na kuelekeza hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili wananchi wapate haki zao.

  7. RC Burian: Tutoe taarifa za ukatili wa kijinsia, wanawake wachangamkie mikopo ya halmashauri

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burian, ametoa wito kwa wananchi kushirikiana kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia huku akihamasisha wanawake kutumia fursa za mikopo inayotolewa na...

  8. Wataalamu walaani kuwanyima watoto haki za msingi

    Wataalamu wa malezi na makuzi ya watoto mkoani Tanga wametahadharisha kuwa kuwanyima watoto haki zao za msingi za kucheza, kupumzika na kukua katika mazingira salama na yenye afya kunahatarisha...

  9. Kliniki ya ardhi Tanga yatatua migogoro 37, wanawake wanufaika

    Tanga. Wataalamu wa ardhi mkoani Tanga wamefanikiwa kusikiliza jumla ya migogoro 49 ya ardhi ndani ya siku sita tangu kuanza kwa programu ya Samia Ardhi Kliniki, iliyofanyika kwa siku sita kama...

  10. Udhibiti dawa za kulevya Tanga wapunguza waraibu

    Tanga. Upatikanaji wa dawa ya kulevya aina ya heroini umeelezwa kuwa mgumu katika Jiji la Tanga, hali inayotajwa kuwa matokeo ya kuimarika kwa udhibiti dhidi ya uingizwaji na usambazaji wa dawa...

Previous

Page 6 of 9

Next