Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

412 results for Peter Akaro :

  1. PRIME Kumbe Ibraah na Harmonize kila mwaka ilikuwa sherehe

    Miaka yake mitano ndani ya Bongofleva imetosha kuonyesha ukubwa wa kipaji chake, Ibraah, mwanamuziki wa zamani wa lebo ya Konde Music Worldwide ni miongoni mwa waimbaji wapya wanaofanya vizuri

  2. Tundaman kutoka maokoto ya soka hadi muziki

    TUNAWEZA kusema Tundaman ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongofleva walioweza kubadilika kadri muziki unavyokua kitu kilichomfanya kuwepo masikioni mwa mashabiki kwa takribani miaka 20 sasa...

  3. Hata Bongo tunaweza kuiga hilo kwa Whitney Houston

    Hapo Januari 19, 2021, mkongwe wa miondoko ya Country Music, Dolly Parton alitimiza umri wa miaka 75, msanii mwenzake Whitney Houston alitumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kumtakia heri ya...

  4. Huyu ndiye Lil' Kim, rapa aliyetolewa na The Notorious B.I.G

    Mwaka 1994 ndipo The Notorious B.I.G aligundua kipaji cha Lil' Kim na kumkaribisha katika kundi lake, Junior M.A.F.I.A na ukawa mwanzo wa mafanikio ya Rapa huyo na mengine sasa ni historia, huku...

  5. Harmonize hana deni kwa msanii yeyote Konde Music!

    Hatimaye rekodi lebo ya Konde Music Worldwide yake Harmonize imeridhia msanii wake wa pekee na wa kwanza kumsaini, Ibraah kuondoka baada ya kufanya kazi pamoja ya kutoa burudani kwa mashabiki kwa...

  6. Mwaka wa tatu huu Tems anaishi London

    Mshindi wa Grammy na mkali wa Afrobeats kutokea Nigeria, Tems amesema huu ni mwaka wa tatu sasa anaishi London, Uingereza kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki pamoja na mambo yake mengine...

  7. Ibraah yuko huru, ...ila mgogoro Konde Music, wulionekana kitambo 

    Hatimaye yuko huru. Ndiyo, msanii wa Bongo Fleva, Ibraah amemalizana na Konde Music Worldwide baada ya vuta nkuvute ya kutaka kuondoka katika lebo hiyo inayosimamiwa na Harmonize, mwanamuziki...

    IBRAH Pict
  8. Hata tabasamu la mke wa Xabi Alonso linahitajika Real Madrid

    Hadi sasa Xabi Alonso ndiye anatajwa kurithi mikoba ya Carlo Ancelotti ndani ya Real Madrid baada msimu huu kumalizika, anarejea nyumbani Santiago Bernabeu kama kocha mwenye mafanikio na baba wa...

  9. Usiyoyajua kuhusu msanii Roma 

    Ni miongoni mwa wasanii wachache wa Hip Hop Bongo ambao muziki umekuwa daraja la kufikisha ujumbe kutoka kwa umma kwenda kwa watawala, kwa kifupi Roma anaisemea jamii iliyomuamini na kumfanya...

  10. Phina ana rekodi za pekee BSS, TMA

    Amebarikiwa sauti nzuri inayokonga nyoyo za wengi ila uchezaji wake ni zaidi ya kuvutio kingine ndani ya Bongofleva, ingawa Phina bado hajatoa EP wala albamu, kazi aliyofanya kwa takribani miaka...

Previous

Page 6 of 42

Next