Waziri Gwajima ashauri Siku ya Wanaume itambuliwe rasmi nchini
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amesema ipo haja ya Siku ya Wanaume Duniani, inayoadhimishwa Novemba 19 ya kila mwaka, kutambuliwa rasmi...