Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1435 results for Janeth Joseph :

  1. Hii ndio asili ya neno ndafu kwa Wachaga

    Kwa Wachaga, ndafu ni chakula cha heshima ambacho huandaliwa kwa watu maalumu wa heshima na kwa sababu maalumu na chakula hicho hutoa ishara ya upendo, amani na mshikamano.

  2. VIDEO: Alfajiri ya simanzi iliyomsababishia upofu

    Alfajiri ya Agosti 13, 2024 haiwezi kufutika kichwani mwa Esther Makaranga (25) kutokana na tukio lililobadili maisha yake.

  3. Takukuru yazuia Sh329 milioni kununua jenereta zisizo na ubora

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imezuia Sh329 milioni zilizopangwa kutumika kununua jenereta mbili kwa ajili ya iliyokuwa Mamlaka ya Uendeshaji na...

  4. PRIME Upinzani walia mapingamizi kukwama

    Katibu Mkuu Tamisemi, Adolf Ndunguru ambaye amesema ofisi zikifungwa changamoto inatakiwa kutatuliwa ndani ya mfumo wa uchaguzi (ngazi ya juu) na kutoa majibu.

  5. Rufaa yawanusuru wawili waliohukumiwa kuwaua wanandoa

    Mahakama ya Rufani imewaachia huru wakazi wawili wa Mkoa wa Mara, waliohukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kuwaua wanandoa.

  6. PRIME Mtoto aliyemzuia baba yake asiuze shamba ‘apasua’ darasa la saba, Baba afunguka

    Yeye ni miongoni mwa wanafunzi sita kati ya 29 wa shule ya Aman Hills waliopata ufaulu wa alama A kwenye masomo yote.

  7. Usiyoyajua kuhusu maziko ya wazee wa zamani Rombo

    Kwa mujibu wa wazee wa Kijiji cha Lessoroma Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, utaratibu wa kutozikwa kwa Warombo ulidumu hadi miaka ya 1890, lakini dini ilipoingia jamii ilianza kubadilisha...

  8. Kada wa CCM anayedaiwa kumwagiwa tindikali atoa neno

    Makishe ambaye amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC amesema baada ya kupata shambulio hilo, alikimbia kuomba msaada kwa wananchi lakini walikuwa wakimkimbia

  9. Wanne jela miaka 20 kila mmoja kwa kupatikana na heroini

    Washtakiwa wametiwa hatiani kwa kusaidia kusafirisha dawa za kulevya kinyume cha kifungu cha 15(1) (a) cha Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, ikisomwa pamoja na aya ya 23 ya...

  10. Mkaguzi wa ndani Korogwe azikwa, mama asimulia alivyomsubiri

    Kamanda Muchunguzi amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kuwatafuta wa husika wa tukio hilo.

Previous

Page 51 of 144

Next