Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu ya kumwandika baba bandia katika cheti cha kuzaliwa.
RC Babu atahadharisha mamluki uchaguzi serikali za mitaa Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amevionya vyama vya siasa mkoani humo kuepuka kupeleka mamluki kutoka nje ya maeneo yao kupigia kura na kwamba wahakikishe 4R za Rais Samia Suluhu...
VIDEO: Polisi yapiga marufuku maandamano ya Chadema Misime ametoa onyo kwa viongozi wa Chadema kuacha kuhamasisha uvunjifu wa amani na kuwa atakayekaidi hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Naibu Waziri Sillo: Nchi imetulia na ipo shwari Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amethibitisha kuwa hali ya usalama nchini ni shwari na amelitaka Jeshi la Polisi kuimarisha mikakati ya usalama wa raia na mali zao kuelekea...
Mwanafunzi adaiwa kumuua rafiki yake wakibishania umri Mwanafunzi huyo mkazi wa Mtaa wa Kalimani, Wilaya ya Moshi inadaiwa yeye na Lema (marehemu) walikuwa marafiki na siku ya tukio walikaa kijiweni wakivuta sigara, wakaanza kubishana kuhusu umri...
Askofu Sendoro wa KKKT afariki dunia kwa ajali Kilimanjaro Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chediel Sendoro amefariki dunia usiku wa Jumatatu, Septemba 9, 2024 kwa ajali ya gari.
Bei ya kahawa ghafi yapaa, yafikia Sh10,000 kwa kilo moja Wakati Serikali ikihamasisha wakulima wa kahawa nchini kulima kwa tija, Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imetangaza kuwa bei ya kahawa ghafi ya Arabika ya maganda imepanda kutoka Sh7,500 Agosti hadi...
VIDEO: Simulizi ya mwanafunzi alivyotumikishwa kingono siku tatu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema zipo hatua za kiuchunguzi zinazoendelea.
Aliyejinyonga akidaiwa kumbaka mjukuu wake, aacha ujumbe mke na wanawe wasimzike Babu anayetuhumiwa kumbaka mjukuu wake wa miaka minane na kisha kujiua kwa kujinyonga baada ya mke wake kumfuma, aliacha ujumbe kwa mkewe huyo, Philipina Olomi pamoja na watoto wake sita...
Ajiua kwa kujinyonga ikidaiwa alifumaniwa akimbaka mjukuu Idadi hiyo ni ongezeko la waathirika 3,138 sawa na asilimia 25.8, huku makosa yenye idadi kubwa ya waathirika ni ubakaji (8,185), ulawiti (2,382), mimba kwa wanafunzi (1,437), kumzorotesha...