Kauli ya mwisho kwa mchumba wake kabla ya muuguzi KCMC kutoweka
Moshi. Neema Mmasy, mchumba wa muuguzi katika Hospitali ya Rufaa KCMC, Lenga Masunga (38), aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha ameeleza walichozungumza mara ya mwisho, alipomtaarifu...