Mradi wa taka kuwa mali waanzishwa Morogoro Meya Morogoro, Pascal Kihanga amesema mradi huo utasaidia kuboresha hali ya usafi ya manispaa anayoiongoza na kutoa ajira
Kinachoweza kuzivusha ‘startup’ katika changamoto Tafiti nyingi zinaonyesha zaidi ya asilimia 80 ya biashara changa na bunifu (startups) barani Afrika, changamoto yake kubwa ni kukosa mtaji na ufadhili, hili linatajwa kusababisha kifo cha zilizo...
Uhusiano kati ya India na Tanzania wachukua sura mpya Ziara aliyofanya Rais Samia Suluhu Hassan nchini India Oktoba mwaka jana, yatajwa kuongeza zaidi uhusiano wa nchi hizo mbili hususani kibiashara.
Waziri Tax azungumzia nafasi ya JWTZ na PLA katika usalama wa dunia Tax amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa majeshi haya mawili, akieleza jinsi mazoezi ya pamoja yanavyoboresha ujuzi na uzoefu.
Kissenge atamani huduma ya intaneti ipatikane kila kijiji Mkurugenzi wa Mipango na Uhandisi Kampuni ya Huduma ya Mawasiliano ya Tigo, Semvua Kissenge amesema huduma ya mtandao wa intaneti inapaswa kufika maeneo yote ikiwemo vijijini ili wananchi wapate...
Mifumo ya dijitali itapunguza rushwa kwa askari barabarani Tatizo la rushwa miongoni mwa askari wa usalama barabarani na madereva limekuwa kikwazo kikubwa katika juhudi za kuboresha usalama na ufanisi wa usafiri nchini Tanzania. Ripoti maalumu...
PRIME Maisha yanavyobadilika akaunti miamala ya simu zikifikia milioni 56 Kwa mujibu wa ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), hadi kufikia Juni 2024, kulikuwa na akaunti milioni 55.7 za pesa mtandaoni ambazo zimetumika walau mara moja ndani ya kipindi cha...
Utapenda wadau wanavyojadili matumizi ya intaneti, faida zake kemkem Wadau wa masuala ya teknolojia nchini Tanzania wamesema intaneti ina nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo ya nchi, hivyo mamlaka zinazohusika zina wajibu wa kuhakikisha huduma hiyo inaboreshwa...
Rais Samia atengua tena sita Dar es Salaam. Wakati mjadala wa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyowaondoa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba na aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya...
Kambi za matibabu zinavyoonyesha ombwe la uhitaji wa huduma bora za afya Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, alieleza kuwa wagonjwa zaidi ya 5,000 wamepatiwa matibabu katika siku tano za mwanzo za huduma za Ark Peace.