PRIME Bidhaa zapanda, mfumuko wa bei ukibaki palepale Kupanda na kushuka kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula nchini kumetajwa kuchangiwa na kumalizika kwa msimu, athari za mvua na maandalizi ya mfungo wa Ramadhani.
Samia aonya wanawake elimu na cheo visivuruge familia Wanawake wametakiwa kutumia elimu au nafasi mbalimbali za uongozi wanazopata kuinufaisha jamii huku wakisisitizwa kuwa nafasi wanazopata zisiwe kigezo cha kuvuruga familia zao.
Chalamila: Wanawake wamebeba maono ya Taifa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uwezeshwaji wa wanawake katika nyanja mbalimbali, ikiwemo masuala ya uongozi, utasaidia kuongeza na kuimarisha nguvukazi ya nchi kwa kuwa...
PRIME Siri ya mama kumtazama mtoto anaponyonyesha Mama mjamzito anapojifungua mtoto salama ama kwa njia ya kawaida au upasuaji, hatua inayofuata huwa ni tendo la unyonyeshaji.
Simu, runinga hatari kwa watoto wa umri huu Kutokana na faida zake lukuki katika dunia ya sasa, matumizi ya vifaa hivyo kwa sasa yamevunja mnyororo wa rika, kwani watoto wadogo, vijana hata wazee wamekuwa wakitumia katika shughuli...
PRIME Sababu wanawake kupenda kuwazawadia soksi, singlendi na ‘boxer’ wapenzi wao Je, umewahi kufikiria ni sababu zipi zinawasababishia baadhi ya wanawake kupendelea kuwanunulia wapenzi wao singlendi, soksi au nguo za ndani ‘boxer’ wanapotaka kuwapa zawadi?
Zimamoto yatangaza ajira mpya, omba hapa Vijana waliohitimu kidato cha nne na shahada wanatarajiwa kunufaika na ajira ngazi ya Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Akaunti benki ni suluhisho kutopotea fedha za Vicoba Wanavikundi mbalimbali vya kijamii wamehimizwa kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani kwa kuwa njia hiyo si salama, badala yake watumie benki ili kujiongezea faida na kukuza mitaji ya kibiashara.
PRIME Haya ndio madhara ya kununa kwa wanandoa Mchungaji Mgogo anasema hakuna ndoa ambayo haina migogoro, lakini wanapopitia vikwazo wasiweke kiburi.
PRIME Mabadiliko ya kimwili ambayo hupaswi kuyapuuza ukiyaona Miongoni mwa dalili zilizotajwa kwamba hazipaswi kupuuzwa ni pamoja na maumivu ya kichwa ya mara kwa mara, kikohozi au homa.