Watumishi wawili wa Bodi ya Maji wasimamishwa kazi Siha Watumishi wawili wa Bodi ya Maji Magadini Makiwaru, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuwaunganishia huduma ya maji wananchi 63 kinyume cha utaratibu.
Balozi Sefue aalika mawazo kuboresha makusanyo ya kodi Moshi. Tume ya Rais ya Maboresho ya Mifumo na Muundo wa Kodi imewataka Watanzania kuwasilisha mawazo ya namna Serikali inavyoweza kuongeza ukusanyaji wa mapato bila kuathiri mazingira ya...
Mambo manne kuboresha huduma Tanesco Kilimanjaro Akizungumzia wizi wa miundombinu ya umeme, Chacha amesema imekuwa ni changamoto kubwa na sasa wameanzisha operesheni kubwa na wale watakaobainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Wananchi watoa neno ushindi wa Lissu Mbali ya Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi hicho, lakini amewahi kuwa mbunge wa Hai mkoani Kilimanjaro kwa vipindi vitatu na kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
Uru Shimbwe walia ubovu wa barabara Wananchi Uru Shimbwe walia ubovu wa miundombinu ya barabara, waiangukia Serikali
Mafundi Rangi, ujenzi Kilimanjaro, waungana kuzisaka fursa za kiuchumi Mafundi rangi na ujenzi mkoani Kilimanjaro wameamua kujitafuta ili kukabiliana na changamoto za kitaaluma, kimazingira, na kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia weledi unaohusiana na shughuli...
Mawasiliano Same-Mkomazi yarejea daraja likikamilika Kuvunjika kwa daraja hilo kulisababisha adha ya usafiri na usafirishaji hasa kwa wananchi wanaoishi katika safu za milima ya Upare.
Siri Jimbo Katoliki Moshi kupata mapadri 18 Jimbo Katoliki la Moshi mkoani Kilimanjaro limepokea mapadri 18 waliopanda daraja kutoka kuwa mashemasi, huku ikielezwa kuwa maadili, malezi imara ya familia, elimu na sala ndio siri ya mafanikio...
Mashemasi 18 Moshi wapata upadre, Askofu Pengo awafunda Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amewataka mapdre vijana kuwa tayari wakati wowote kwenda kufanya kazi za kitume katika vituo vya...
Mtoto ajeruhiwa shingoni, ashonwa nyuzi tisa Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Azimio, iliyopo Kijiji cha Uchira wilayani Moshi, Dorcas Halifa (13) amejeruhiwa shingoni na kitu chenye ncha kali.