Bosi wa Jatu atoa ombi mahakamani, Serikali kumjibu Machi 11
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imfutie kesi inayomkabili na kumuachia huru kutokana na upelelezi wa shauri hilo kutokamilika...