Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Dk Mwigulu awapiga kijembe Vunjo

    Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wananchi wa Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro kuacha mazoea ya kubadilisha wabunge kila baada ya miaka mitano, akisema tabia hiyo inachangia...

  2. Dk Mwigulu aagiza KNCU kuuza mali zake kulipa deni la Sh400 milioni

    Moshi. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amekiagiza Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) kuuza moja ya mali zake kulipa madeni ya zaidi ya Sh400 milioni yanayodaiwa na chama cha...

  3. Mwigulu amuibua msanii, aagiza aingizwe kwenye ziara zake akatumbuize

    Kijana mkazi wa Mabogini, Wilaya ya Moshi, amejikuta akipata fursa ya kipekee baada ya kuvutia umati na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, kwa kipaji chake cha kuimba katika mkutano wa hadhara.

  4. Kardinali Pengo afariki dunia

    Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu wa Jimbo hilo, Yude Ruwai'chi.

  5. Waziri Mkuu aagiza utekelezaji mradi wa maji Rombo

    Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza utekelezaji wa haraka wa mradi wa maji katika Ziwa Chala, unaojengwa katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, ukitarajiwa kutatua kero ya maji wilayani...

  6. Serikali yatangaza mkakati kudhibiti nyani Rombo

    Serikali ina mpango wa kurejesha biashara ya kuuza viumbe hai, wakiwemo nyani na tumbili, hatua inayolenga kupunguza athari zinazotokana na wingi wa wanyama hao katika maeneo ya makazi ya watu.

  7. Dk Mwigulu akutana na mwalimu wake mkutanoni Rombo

    Mwalimu aliyemfundisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba jiografia darasa la nne, katika Shule ya Msingi Mapunda, Adolf Pantaleo ameibukia kwenye mkutano wake na kumkumbusha namna...

  8. Wananchi 1,142 kulipwa fidia kupisha ujenzi barabara Rombo

    Serikali itawalipa fidia wananchi 1,142 ili kupisha ujenzi wa barabara ya Lower iliyopo Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, yenye urefu wa kilomita 10 ambayo itagharimu zaidi ya Sh28 bilioni hadi...

  9. Mwigulu achangisha Sh2.8 milioni mkutanoni kumlipa mkandarasi

    Akitoa maelezo yake mbele ya Waziri Mkuu, fundi huyo ameeleza kuwa, kutokana na kutolipwa fedha hizo, ndoa yake iliingia matatani baada ya kuamua kuuza mifugo yake ili kuwalipa wasaidizi wake.

  10. Waziri Mkuu aagiza Takukuru Kilimanjaro kuchunguza miradi isiyokamilika 

    Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amemwagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Kilimanjaro kuchunguza miradi ambayo fedha zake zimeshatolewa na haijakamilika...

Previous

Page 10 of 144

Next