Wizara ya Ujenzi yatoa vipaumbele vya kuipeleka Zanzibar kwenye uchumi wa kidijitali
Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi imeweka mkazo katika utekelezaji wa vipaumbele vyake vinavyolenga kuendeleza miundombinu ya barabara, bandari na viwanja vya ndege, sambamba na...