Mabalozi CCM wadai kuchangishwa fedha, Katibu UVCCM akanusha
Baadhi ya mabalozi wa CCM wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza, wanamlalamikia Katibu wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Tawi la Majengo, Taratibu Julius, kwa madai ya kuwachangisha Sh810,000 kwa ajili ya...