Mama Karume aeleza changamoto za wanawake katika uongozi Zanzibar
Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mama Fatuma Karume, amesema safari ya mwanamke katika kufikia malengo yake imejaa changamoto nyingi, milima na mabonde, lakini wanawake hawapaswi kukata tamaa.