Search

1006 results for Herieth Makwetta :

 1. Balozi Ruhinda kuzikwa kesho Ununio, kuagwa KKKT Masaki

  Mmoja wa waasisi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Balozi Ferdinand Ruhinda (86) aliyefariki dunia juzi Juni 14, 2024 jijini Dar es Salaam, anatarajiwa kuzikwa kesho Jumatatu...

 2. MCL yajikita kuhamasisha uelewa wa  mabadiliko ya tabianchi kidijitali

  Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) ilianza safari ya kuelekea mustakabali wenye urafiki na mazingira kupitia mijadala ya mabadiliko ya tabianchi mwaka jana.

 3. Wanaume na hatari ya saratani ya koo

  Anataja kundi la pili ni saratani ya koo ambayo haina uhusiano na koo na haina uhusiano na HPV.

 4. Kikokotoo chaguswa bajeti ya 2024/25

  Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuongezwa malipo ya mkupuo kutoka asilimia 33 iliyopo sasa hadi asilimia 40 kwa watumishi wastaafu.

 5. Dawa mpya ya uzazi wa mpango kwa wanaume yazua mjadala

  Dawa hiyo ambayo imekuwa ikitengenezwa na kuboreshwa tangu mwaka 2005, imefanyiwa majaribio kwa wanandoa 300 ambao uzalishaji mbegu ulipungua.

 6. Kasi ongezeko maambukizi ya kaswende yashtua

  Ripoti inaonyesha magonjwa manne ya zinaa yanayotibika yaani kaswende, kisonono, klamidia na trichomoniasis, husababisha zaidi ya maambukizi milioni moja kila siku duniani.

 7. Rais Samia afanya uteuzi akiigusa ofisi yake

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, huku akiigusa ofisi yake kwa kuteua watendaji wanne katika nafasi mbalimbali za uongozi.

 8. Profesa Makubi ateuliwa Mkurugenzi Mtendaji BMH

  Juni 8, 2023 Rais Samia alimteua Profesa Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa MOI akichukua nafasi ya Dk Respicious Boniface ambaye alimaliza muda wake.

 9. PRIME Ukatili, teknolojia chanzo ongezeko la Ukimwi kwa wasichana wa 2000

  Ripoti mpya ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imeonyesha maambukizi mapya kwa wasichana wenye umri wa miaka 15 mpaka 24 yameongezeka mara mbili zaidi, huku sababu ikitajwa kuchangiwa...

 10. Utafiti wabaini wasichana asilimia 75 wanapendelea taulo za kufua

  Asilimia 75 ya wanafunzi waliohojiwa katika baadhi ya shule za sekondari na msingi ndani ya mikoa 22 nchini, walionyesha kupendelea zaidi taulo za kike za kutumia na kufua, utafiti umebaini.

Page 1 of 101

Next