Balile, Machumu wapita bila kupingwa uchaguzi TEF, wajumbe wapatikana
Songea. Deodatus Balile amechaguliwa bila kupingwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumamosi, Aprili 5, 2025...