Mashirika yasio ya kiserikali Tanga yatakiwa kuboresha miradi Amesema mashirika yanatakiwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi kwa kuwa makini na kutambua wanakwenda kufanya nini na miradi husika itakwenda kunufaisha vipi jamii za rika zote...
RC Batilda akerwa utoro wa watumishi kazini, atoa agizo Amesema kuna baadhi ya watumishi wanaomba ruhusa kuwa wanaumwa, ila baadaye anakutwa kwenye viwanja vya mpira au matukio mengine tofauti na alichokisema jambo ambalo sio sahihi na kinyume na...
Mahakama yamng’ang’ania aliyeiba Sh23,000, jela miaka 30 Hii ni rufaa yake ya pili kushindwa ambapo awali alihukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni baada ya kukutwa na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha kinyume na kifungu cha 287A cha Kanuni...
42 mbaroni kwa tuhuma za uhalifu Tanga Amesema sambamba na ukamataji huo, jumla ya pikipiki 28 zimekamatwa, ambapo tisa kati ya hizo hazina namba za usajili, na zinashikiliwa kwa ajili ya uchunguzi zaidi kubaini uhalali wa umiliki...
Aliyepotea wiki moja akutwa ameuawa, Polisi yatoa kauli Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo, huku wengine watatu wakiendelea kutafutwa.
Historia ya kuvutia maeneo ya Jiji la Tanga Nje ya historia ya mkoa, maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Tanga yana simulizi za kuvutia kwa anayezisoma au kusikiliza.
Mgodi wa dhahabu Magambazi kuanza rasmi Julai Handeni. Wizara ya Madini imeridhia Kampuni za PMM Tanzania Limited na East African Metals (CANACO) watafute mwekezaji mwingine wa tatu mwenye nguvu ili kuendesha mgodi wa Dhahabu wa Magambazi...
Kigogo CUF atimkia CCM, adai ‘matunda ya msimu’ yamemchosha Mwananchi imezungumza na Mjumbe wa Baraza la Uongozi Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CUF wilayani Handeni, Masoud Mhina amesema wamesikia taarifa za kuhama kwake mapema leo.
Mvua za masika zaacha maumivu mikoa mitatu Katika mikoa hiyo, mbali na Daraja la Somanga-Mtama lililokatika Aprili 6, lingine la Mto Matandu lilikatika Aprili 7 na kusababisha adha kubwa kwa wasafiri na wasafirishaji.
Serikali yaweka msimamo hatima ya mgodi wa dhahabu Magambazi Serikali imesema itaendelea na msimamo wa kutozihuisha leseni za Kampuni ya PMM Tanzania Limited inayoendesha na kumiliki mgodi wa kati wa dhahabu wa Magambazi, uliopo wilayani Handeni, mkoani...