Habari Kuu

Rais Kikwete: Kazi hii ya urais ni ngumu

Posted 4 hours ago

Rais Jakaya Kikwete amesema kazi ya urais ni ngumu na anatamani amalize kipindi chake ili awe mtu huru kufanya mambo yake, ikiwamo kilimo, huku akiamini atapatikana Rais bora kuiongoza vizuri zaidi Tanzania kuliko yeye....

comment