Makalla: Katiba si ya CCM wala Chadema, ni ya wananchi Asema Katiba lazima iende kwa wananchi. Haitafanywa ikawa ni ya CCM na Chadema.
CCM yawakalia kooni wanaojipitisha mapema kusaka udiwani, ubunge Utaratibu huo utahusisha upokeaji wa tuhuma dhidi ya makada wanaokiuka utaratibu wa chama hicho, ikiwemo kuanza kampeni mapema ili kuwashughulikia wote watakaobainika.
Boeing 737-9 Max kuanza kutua Dodoma Kati ya Oktoba na Novemba Serikali itaanza kupeleka ndege kubwa ya abiria ya Boeing 737-9 Max Dodoma kwa kuwa wasafiri ni wengi
Mikakati ya Serikali kuipa nguvu ATCL Serikali imesema miongoni mwa miradi mikubwa ya maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 itakayopewa kipaumbele, ni pamoja na ufufuaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Vaa hadi wakushangae; Mtoko wa usiku Met Gala ulivyobamba Tamasha la mitindo la Met Gala kwa mwaka 2024 lilifanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Sanaa ya Metropolitan huko New York, ambako yamekuwa yakifanyika kila mwaka.
Vyama 11 vyamvaa Lissu, mwenyewe ajibu Mwenyewe asema madai ya vyama hivyo hayana maana, kwani amekuwa akikosoa tawala zote kuanzia kwa Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete na John Magufuli lakini hawakuwahi kuhoji.
Serikali kuboresha kifuta jasho kwa wanaoathiriwa na wanyama wakali Baada ya malalamiko ya muda mrefu kuhusu viwango vidogo vya kifuta jacho kwa watu wanaokumbwa na athari za wanyama wakali na waharibifu, sasa Serikali kuja na viwango vipya.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Wataka Mgunda apewe mikoba Simba Mara ya mwisho Wekundu wa Msimbazi kupata ushindi ilikuwa Machi 15, ilipoichapa Mashujaa kwa mabao 2-0 kisha kupoteza dhidi ya Al Ahly (nje ndani), ikatolewa FA kwa penalti 6-5 na Mashujaa, sare...
Rihanna aikacha 'Met Gala' 2024 Wakati wadau mbalimbali wakisubiri kuona muonekano wa mwanamuziki Rihanna katika usiku wa tamasha la mitindo duniani ‘Met Gala’ lililofanyika katika ukumbi wa ‘Metropolitan Museum of Art’...
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...