PRIME Simulizi ya mjumbe wa shina aliyekatwa mkono akiamua ugomvi Tukio hilo lilitokea Mei mosi, mwaka huu nje ya Kanisa la Victory Gospel Assembly, kufuatia ugomvi baina ya wanandoa hao na mjumbe huyo alienda nao kanisani hapo kwa ajili ya usuluhishi zaidi.
CCM yawakalia kooni wanaojipitisha mapema kusaka udiwani, ubunge Utaratibu huo utahusisha upokeaji wa tuhuma dhidi ya makada wanaokiuka utaratibu wa chama hicho, ikiwemo kuanza kampeni mapema ili kuwashughulikia wote watakaobainika.
Boeing 737-9 Max kuanza kutua Dodoma Kati ya Oktoba na Novemba Serikali itaanza kupeleka ndege kubwa ya abiria ya Boeing 737-9 Max Dodoma kwa kuwa wasafiri ni wengi
PRIME Wabunge wabainisha kasoro ubora wa elimu, wapendekeza njia za kuweka sawa Wabunge wameichangia bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania wakionyesha kinachochangia kushusha ubora wa elimu nchini na kupendekeza kipi cha kufanyika.
Vaa hadi wakushangae; Mtoko wa usiku Met Gala ulivyobamba Tamasha la mitindo la Met Gala kwa mwaka 2024 lilifanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Sanaa ya Metropolitan huko New York, ambako yamekuwa yakifanyika kila mwaka.
Vyama 11 vyamvaa Lissu, mwenyewe ajibu Mwenyewe asema madai ya vyama hivyo hayana maana, kwani amekuwa akikosoa tawala zote kuanzia kwa Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete na John Magufuli lakini hawakuwahi kuhoji.
Taasisi tisa za elimu kufumuliwa, shule mpya 100 kujengwa Tanzania Vipaumbele vingine ni kuongeza fursa na kuimarisha ubora wa elimu ya msingi, sekondari na ualimu, kuimarisha ubora wa elimu ya juu na kuendeleza tafiti, matumizi ya sayansi, teknolojia na ubunifu.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Mastaa Ligi Kuu wapigwa chini Taifa Stars Wachezaji watano walioitwa ambao wanacheza Ligi Kuu Bara ni Ally Salim wa Simba, Mukrim Abdallah (Ihefu), Abdulmalik Zacharia (Namungo), Baraka Mtuwi na Omary Abdallah (Mashujaa) pamoja na Khalid...
Akili bandia yatumika kudanganya uwepo wa Rihanna 'Met Gala' Baada ya kuripotiwa kuwa mwanamuziki Rihanna hakuweza kuhudhuria katika tamasha la mitindo la ‘Met Gala’ lililofanyika nchini Marekani, baadhi ya watu wametengeneza picha ‘feki’ za msanii huyo...
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...