Aunty Ezekiel aomba radhi, kuchapisha picha chafu Dar es Salaam. Msanii wa filamu nchini, Aunty Ezekiel amesema kilichopelekea aitwe na Bodi ya Filamu nchini ni kuchapisha picha chafu kwenye ukurasa wake wa Instagram. Akizungumza na waandishi...