Breaking News

Hii ndio mikoa yenye wanafunzi watukutu 2017

Wednesday January 8 2020

 

Zipo sababu nyingi zinazoweza kusababisha wanafunzi kuacha au kuachishwa shule ikiwemo mimba kwa watoto wa kike, vifo, ugumu wa maisha kwa wazazi au kutengena, utovu wa nidhamu na nyinginezo.

Katika takiwimu za elimu wiki hii tunaangalia wanafunzi wa shule za Sekondari nchini Tanzania walioacha au kuachishwa kutokana na utovu wa nidhamu mwaka 2017.

Takwimu za Tamisemi zinaonesha utovu wa nidhamu ni sababu ya pili inayochangiwa wanafunzi kukatisha shule.

Je unafahamu mikoa inayoonngoza? na ni wanafunzi wangapi wa shule hizo waliacha shule kwa utovu wa nidhamu?

Advertisement