Kona ya Wastaafu: ‘Wote ni wastaafu’, tofauti ya pensheni ya nini?
Ilikuwa ni hadithi njema, na mstaafu wetu anajikuta akikumbuka zaidi maneno ya mwandishi huyo aliyewatumia wanyama katika hadithi yake, ya kwamba “watu wote ni sawa, lakini kuna ambao wako sawa...