Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Nyalandu awashukuru waliomuunga mkono

Muktasari:

Ametaka kuwe na ushindani na demokrasia ya kweli Tanzania.

Dar es Salaam. Aliyekuwa mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu amewashukuru Watanzania waliompongeza na kuunga mkono uamuzi wake wa kujiondoa ndani ya chama hicho.

Pia, amesema si jambo la busara kuzushiana uongo.

Nyalandu ametumia akaunti zake za kijamii za Twitter, Facebook na Instagram kutoa kauli hizo siku mbili baada ya kutangaza uamuzi wa kujivua nafsi zote ndani ya CCM ikiwemo ubunge.

Pamoja na Nyalandu kueleza hayo amefunguka zaidi kwenye mahojiano maalum na Gazeti la Mwananchi ambayo yatachapishwa kesho Alhamisi