PRIME Majaliwa aliwaweka matumbo joto wazembe na wabadhirifu Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitangaza kuwa hatagombea tena kiti cha ubunge, aliwaweka matumbo joto wazembe na ubadhirifu.