Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

#Live Rais Samia kuzindua mkakati wa uelimishaji Sensa

Live Rais Samia kuzindua mkakati wa uelimishaji Sensa

Muktasari:

  • Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuzindua mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu makazi ya mwaka 2022.

Dodoma. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuzindua mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu makazi ya mwaka 2022.

Uzinduzi huo unafanyanyika leo Jumanne Septemba 14, 2021 katika uwanja wa Jamuhuri jijini hapa.

Shughuli hiyo itashuhudiwa na Makamu wa Rais Dk Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, mawaziri na viongozi wengine wa Serikali na wakuu wa majeshi.