Kesi ya Mbowe yaahirishwa

Kesi ya Mbowe yaahirishwa

Muktasari:

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Ijumaa Agosti 6, 2021 imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu mpaka Agosti 13.


Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Ijumaa Agosti 6, 2021 imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu mpaka Agosti 13.

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu walifikishwa  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kukiwa na ulinzi mkali.

Washtakiwa hao wamefikishwa Mahakamani hapo saa leo muda wa 2:12 wakiwa kwenye basi dogo la Magereza likisindikizwa na magari mawili ya wazi yenye askari magereza wenye silaha za moto.

Endelea kusoma tovuti ya mwananchi kwa habari zaidi