Mafuta yapanda tena

What you need to know:

  • Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (Ewura) imetangaza kupanda kwa bei ya rejareja ya mafuta kwa Sh71 kwa lita moja ya petroli mwezi huu.

  

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (Ewura) imetangaza kupanda kwa bei ya rejareja ya mafuta kwa Sh71 kwa lita moja ya petroli mwezi huu.

Tangazo la Ewura lililotolewa linaonyesha kupanda kwa viwango tofauti kwa bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa ikilinganishwa na mwezi uliopita.


This page might use cookies if your analytics vendor requires them.