Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte afariki dunia
Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI), alikokuwa akipatiwa matibabu, mkewe Mariamu Shamte amethibitisha
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia mtandao huu wa www.mwananchi.co.tz
SOMA ZAIDI