Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mwili wa mhasibu wakutwa kichakani

Mwili wa mhasibu wakutwa kichakani

Muktasari:

  • Mwili wa mhasibu  wa Shule ya Sekondari Nronga inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Helga Lema  umekutwa kichakani.

Hai. Mwili wa mhasibu  wa Shule ya Sekondari Nronga inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Helga Lema  umekutwa kichakani.

Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Mei 12, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Amon Kakwale amethibitisha kifo hicho  akibainisha kuwa kimetokea jana asubuhi katika kijiji cha Nronga wilayani Hai.

"Ni kweli kuna mwili wa mwanamke mmoja, mhasibu wa shule ya sekondari Nronga umekutwa pembeni mwa barabara,” amesema akibainisha kuwa uchunguzi wa kifo hicho unaendelea na kwamba mwili umehifadhiwa katika hospitali ya Machame wilayani Hai.