Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Sababu wamachinga Simu2000 kumfukuza DC Ubungo

Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika Soko la Simu2000 wakiwa kwenye mgomo leo asubuhi Julai 8, 2024. Picha na Lawrence Mnubi

Dar es Salaam. Miongoni mwa wamachinga wakieleza sababu ya kumkataa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko na kufanya mgomo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila.

Miongoni mwa sababu hizo ni kile walichodai hawana imani naye katika kushughulikia changamoto zao.

Mzizi wa maandamano na mgomo wa wafanyabiashara katika soko hilo ni uamuzi wa Manispaa ya Ubungo kutangaza kulikabidhi eneo hilo kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart).

Manispaa hiyo imetoa tangazo hilo, Julai 4, 2024 baada ya kikao cha Baraza la Madiwani.


Endelea kufuatilia Mwananchi