Simulizi ya mtoto aliyefanya mitihani darasa la saba gerezani

Kunde Kilulu, anayekabiliwa na kesi ya mauaji alipozungumza na Mwananchi akiwa chini ya ulinzi katika Gereza Kuu Bariadi. Picha na Samirah Yusuph

Muktasari:

  •  Licha ya kushikiliwa gerezani kwa tuhuma zinazomkabili, Kunde Gambija Kilulu (15) alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni 1.1 waliofanya mitihani ya darasa la saba na hatimaye kufaulu kwa daraja B.


Bariadi. Licha ya kushikiliwa gerezani kwa tuhuma zinazomkabili, Kunde Gambija Kilulu (15) alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni 1.1 waliofanya mitihani ya darasa la saba na hatimaye kufaulu kwa daraja B.

Wakati wanafunzi wenzake wakifanya mitihani hiyo wakiwa katika mazingira ya kawaida shuleni, kwake ilikuwa tofauti kwa sababu aliifanyia siyo tu akiwa chini ya ulinzi, bali katikati ya kuta za Gereza la Bariadi mkoani Simiyu alikowekwa mahabusu kutokana na tuhuma za mauaji zinazomkabili yeye na baba yake mzazi.

Soma simulizi ya mwanafunzi aliyefanya mitihani ya darasa la saba akiwa gerezani katika Gazeti la Mwananchi leo Novemba 4, 2021