Wanafunzi Watanzania waliokwama Ukraine wawasili Moscow

Kundi la wanafunzi Watanzania 11 waliokuwa wamekwama Summy nchini Ukraine wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Balozi Frederick Kibuta na Maafisa Ubalozi baada ya kuwasili Moscow nchini Urusi salama.

Muktasari:

  • Kundi la wanafunzi Watanzania 11 waliokuwa wamekwama Summy nchini Ukraine wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Balozi Frederick Kibuta na Maafisa Ubalozi baada ya kuwasili Moscow nchini Urusi salama.

Kundi la wanafunzi Watanzania 11 waliokuwa wamekwama Summy nchini Ukraine wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Balozi Frederick Kibuta na Maafisa Ubalozi baada ya kuwasili Moscow nchini Urusi salama.

Jeshi la Russia kutumika kuokoa wanafunzi wa Tanzania Ukraine

Russia imetengeneza njia ya usalama kuwawezesha wanafunzi wa Tanzania walioko katika Chuo Kikuu cha Sumy (Sumy state university) ili kuepuka mashambulizo ya vita vinavyoendelea nchini Ukraine. Soma zaidi

Wanafunzi wa Kitanzania Ukraine waruhusiwa kuvuka mpaka wa Russia

Wanafunzi wa Kitanzania walio katika mji wa Sumy nchini Ukraine wameruhusiwa kutoka nchini humo kupitia mpaka wa Russia baada ya mazungumzo ya kidiplomasia kufanyika na Serikali ya Russia kuridhia. Soma zaidi