1. Hatari ya shisha kwa vijana katika kifua kikuu

    Ni kawaida siku hizi katika kumbi za starehe mijini kukuta mitungi ya shisha juu ya meza, huku watumiaji wakichangia kilevi hicho. Je, unajua kuna uwezekano mkubwa mtumiaji kupata maambukizi ya...

  2. Ndoa yako ina changamoto? Fanya haya kuijenga

    Kabla sijaenda mbali na kukuruhusu wewe msomaji kuzama ndani ya makala hii nadhani ni vema niliweke hili wazi kwamba njia hizi ninazozizungumzia sio ndiyo misingi ya ndoa. Misingi ya ndoa ni...

  3. Wazazi wakigombana, mtoto anaathirika hivi...

    Machi 16, 2024 lilitokea tukio la kusikitisha wilayani Babati mkoani Manyara pale mtoto wa miaka minane kukatisha maisha yake kwa madai ya kuchoshwa na migogoro baina ya wazazi wake.

  4. RTD ina mchango mkubwa katika kulinda na kuendeleza utamaduni wa TZ

    Mwaka 1951 afisa mmoja wa BBC alipendekeza kuanzishwa kwa kituo cha redio katika koloni la Uingereza la Tanganyika. Ili kupata ujuzi wa kutengeneza vipindi kwa ajili ya wenyeji wa nchi hii...

  5. Madogo wa IT jiongezeni muokote maokoto

    Kila jambo lina wakati wake. Suleiman alisema kuna wakati wa kuokota mawe na wakati wa kutupa mawe.

  6. Oya! watu wangu wa Sinza futari 'hainaga' swaga 

    Nimetumia wiki yote iliyopita kufuturu mitaa ya Sinza. Kule nina familia, washikaji na kumbukizi nyingi za nyakati za balehe. Sinza imebadilika, na watu wake wamebadilika. Siyo Sinza ile tena.

  7. PRIME Hatari ya ‘wallet’ kwa afya ya mwanaume

    Wanaume wengi hupendelea kutumia wallet (pochi) kuhifadhia fedha, kadi za mawasiliano na vitu vidogo muhimu. Wengi wana utaratibu wa kuweka mfuko wa nyuma wa suruali.

  8. Sintofahamu mitihani ya mchujo kwa walimu

    Mitihani ya mchujo ni moja ya mbinu za kupata wafanyakazi bora katika eneo husika, ambayo mara nyingi hufanywa ili kuhakiki uwezo alionao mwombaji wa ajira kulingana na utaalamu stahiki.

  9. Wanywaji wa ‘Energy’ mnalijua hili?

    Kama unapenda kunywa kinywaji cha kuongeza nguvu, maarufu kama 'Energy drink' unatakiwa kufikiri upya.

  10. Daktari ataja sababu watoto kufia tumboni

    Sababu nyingine ya magonjwa ambayo huwa yanachangia mtoto kufia tumboni ni mwili wenyewe kutengeneza vita kati ya kinga yake ya mwili na kiumbe kilichoingia (mimba) inaitwa antibody and antigene...

  11. PRIME Sababu umri wa Mtanzania kuishi kuongezeka hizi hapa

    Idadi ya miaka anayotarajia kuishi Mtanzania imeongezeka kutokana na kuboreshwa kwa mifumo ya huduma za afya na kampeni zinazoendelea za uhamasishaji wa maisha yenye afya bora.

  12. PRIME Maajabu ya tende, faida zake kufungulia Swaum

    Tende imepata umaarufu mkubwa duniani kwa sababu ni tunda ambalo limekuwa likitumika sana katika kipindi cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kama chakula cha kwanza wakati wa kufuturu.

  13. PRIME Pombe, 'energy drink' zinavyomaliza vijana

    Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana.

  14. Mtu chake apendacho hakina ila machoni

    Kwa wakati mgumu wa maombolezo baada ya kumpoteza mhafidhina wa Kiswahili, Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi. Kwa jinsi ninavyozielewa jitihada zake kuienzi lugha yetu...

  15. Misingi ya sifa za wanamuziki imebadilika sana zama hizi

    Sababu ambazo zinafanya mwanamuziki awe maarufu, zimebadilika sana katika zama hizi, kiasi cha kwamba asilimia kubwa ya wasanii walio maarufu katika muziki ni waimbaji.

  16. Binti yako kama hana elimu asikanyage Daslama

    Ngozi halisi ikaanza kuonekana. Kumbe hakuwa mweusi tii bali ni rangi ya chokoleti. Maji ya chumvi, vipodozi, misosi flani, sabuni na mafuta anayopaka. Kombinesheni yote hii ilizalisha kiumbe...

  17. Ni kipindi cha kuweka kando nywele bandia

    Kwa mujibu wa mtaalamu wa hali ya hewa, Rose Senyengwa hali hii inaweza kuendelea hadi Machi, kwa kuwa ni kipindi ambacho jua la utosi linakuwa katika maeneo ya kizio cha kusini mwa dunia na...

  18. Leonarda Cianciulli: Muuaji aliyetengeza keki, sabuni kwa damu na nyama za watu

    Unapokula keki unajiuliza imetengenezwa na vitu gani ndani yake? Mwanamke Leonarda Cianciulli alitumia damu ya binadamu kutengeneza na kuwagawia majirani zake kwa ajili ya kunywea chai

  19. Faida ya tunda hili kwa mwenye kisukari

    Inawezekana ukajiuliza matunda yapi yanafaa kuliwa na mgonjwa wa kisukari.

  20. PRIME Profesa Janabi: Ukifanya haya hutazeeka haraka

    Profesa Mohammed Janabi, ambaye amekuwa akizungumza ukweli kuhusu namna ya kulinda afya, kuepuka magonjwa yasiyoambukiza, safari hii amekuja na soma jingine la kuepuka uzee.